Mrembo huyu akiwa katika kazi , anawatakia heri ya mwaka mpya wana PWANIRAHA, maisha mema ya kazi na mzidi kujituma katika majukumu ya kazi.
tuna mtakia mrembo huyu mwaka mpya wenye mafinikio!Jamani tuambie basi jina lake.
Amina awe na mwaka mwema.
jina mr pwani.
salaam zatosha. ahsante.
kuuliza si ujinga siku hizi hata mwanaume anaitwa mrembo ??au macho yangu manake naona mkaka ktk picha alafu mnasema mrembo mhh
Post a Comment
Salary Amount:
  PAYE:
Subscribe in a reader
5 comments:
tuna mtakia mrembo huyu mwaka mpya wenye mafinikio!
Jamani tuambie basi jina lake.