Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 5, 2009

SALAAMS


Mrembo huyu akiwa katika kazi , anawatakia heri ya mwaka mpya wana PWANIRAHA, maisha mema ya kazi na mzidi kujituma katika majukumu ya kazi.

5 comments:

Dora said...

tuna mtakia mrembo huyu mwaka mpya wenye mafinikio!
Jamani tuambie basi jina lake.

Anonymous said...

Amina awe na mwaka mwema.

Anonymous said...

jina mr pwani.

pwaniraha said...

salaam zatosha. ahsante.

Anonymous said...

kuuliza si ujinga siku hizi hata mwanaume anaitwa mrembo ??au macho yangu manake naona mkaka ktk picha alafu mnasema mrembo mhh