Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Kanali mtaafu, Fabian Massawe (wapili kushoto), Meneja Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Winston Kagusa (kushoto), Meneja Uhusiani wa Kampuni hiyo, Teddy Mapunda (katikati), wakikata keki kwa pamoja wakati wa sherehe ya kuaga mwaka na kuukaribisha 2009, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msasani Club wakati bendi ya Akudo Impact ilipokuwa ikitumbuiza hivi karibuni. Kulia ni Meneja Masoko wa SBL, Bahati Singh.
1 comment:
Anonymous
said...
Respect to Mzee Kagusa. Huyu ni Mzee wangu ingawaje long time no see yeye,sijui kama ameanza kuongea kwa sauti sasa hv ksbb enzi zile naonana naye mara kwa mara alikuwa na style fulani ya kuongea tarrtiibu,usipokuwa makini huwezi kumsikia
1 comment:
Respect to Mzee Kagusa.
Huyu ni Mzee wangu ingawaje long time no see yeye,sijui kama ameanza kuongea kwa sauti sasa hv ksbb enzi zile naonana naye mara kwa mara alikuwa na style fulani ya kuongea tarrtiibu,usipokuwa makini huwezi kumsikia
Post a Comment