Baadhi ya wananchi waishio maeneo ya Keko karibu na Kamata wakiangalia mwili wa kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mala moja baada ya kugonhwa na kichwa cha treni eneo la Darajani Keko, kijana huyo inasadikika alikuwa akiishi chini ya daraja hilo ampako kuna pita reli ya kuelekea Kigoma na Mwanza, kijana huyo aliamua kuweka makazi yake hapo baada ya njia hiyo ya reli kusimama kwa muda kutokana na mvua zilizonyesha na kusababisha daraja lililopo huku maeneo ya Morogoro kuharibika leo serikali ilitangaza kuwa ujenzi wa daraja hilo umekamilila na ni siku ya safri ya Treni kuanza kazi.
June 1, 2010
TRENI YAUA NI MKAZI ALIYEGEUZA MAKAZI YAKE CHINI DARAJA LA KEKO JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment