Mguu wa mama huyu pichani aliyejitaja kwa jina la Scola ambaye ni mkazi wa Kinondoni Shamba akiionyesha jeraha kubwa lililotokana na kugongwa na gari, akiwakitandani nyumbani kwake, mama huyu mguu wake unazidi kuoza kutokana na ukosefu wa hudumahata hivyo mama huyu alisema kuwa aliye mgonga amemhonga pesa Askari polis ambaye ndiye aliye shikiria Faili lake askari huyo anafanya kazi katika kituo kidogo cha Mtambani kinondoni , Mtuhumiwa aliyemgonga hakufahamika kwa jina lakini Namba za simu zake ni 071975747 jamaa akipigiwa humwambia kuwa mambo yote yataishia mahakamani kwani yeye ana Bina na Leseni.siku ya leo mama huyo alidai kuwa atajikongoja kwenda kwa Mkuu wa kituo cha Oysterbay ili aweze kupata haki yake.Scola akiwa kitandani kwake bila msaada wowote eneo la Kinondoni Shamba karibu na Ofisi za Wachina wanaonunua chupa chakavu.
No comments:
Post a Comment