Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 1, 2010

HII NDIO RAHA YA KUWA NA FAMILIA; Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akiwa na familia yake mkoani Mbeya (katika) mtoto Sharon Mwakifulefule na Mke wake Mrs Mwakifulefule aka Doty wakiwa katika picha ya pamoja hapa. Kwa raha zao wakiwa Mr & Mrs Mwakifulefule wakiwa na mtoto wao mpendwa Sharon katika matembezi yao hapa ilikuwa katika eneo la Njombe Mkoani Iringa katika barabara itokayo Dar es Salaam kuelekea Mbeya hadi Zambia ,Malawi na Afrika Kusini.


Baadhi ya maroli yakiwa safrini hapa ni eneo la Ilula Iringa.

Askari wa usalama barabarani akiwaangalia kwa huzuni baadhi ya vijana wanaofanya kazi katika magari ya mizigo wakiwa hawana la kufanya baada ya roli lao kushindwa kupanda mlima Kitonga na kusababisha kuziba kwa njia kiasi cha magari mengine kushindwa kupita eneo hilo la mlima kidonga limekuwa la hatari sana kutokana na magari mengi kushindwa kupanda na kukatiza kona 57 zilizopo katika mlima huo.


Gari la mizigo likiwa limeanguka baada ya kushindwa kupandisha mlima Kitonga uliopo katika eneo la mkoa wa Iringa katika barabara ya kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya.

No comments: