Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil Robinho akitokea katika chumba cha kupumzikia wachezaji baada ya kumaliziki mchezo wao na Taifa stars .
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya kikapu na Kinyago cha masai mshambuliaji wa Brazil Ricado Kaka kushoto ni Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Leodger Tenga.Brazil iliinyuka Taifastars 5-1.
Kocha wa Brazil Dunga akiongea na wandishi wa habari toka vyombo mbalimbali ulimwenguni.
Baadhi ya mashabiki walioingia kushuhudia mchezo wa Brazil na Taifa stars wakifurahia kuingia kwa bao moja lililofungwa na mshambuliaji wa Tanzania Jabill Azizi.
Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wakiishangilia Taif Stars kwa nguvu zote katika mchezo wa kirafiki kati ya Brazil na Taifa stars uliopigwa katika uwanja wa Taifa.

No comments:
Post a Comment