DOOO, Shadarack Nsajigwa kepteni wa taifa stars akishanga jamaa aliyejitosa kwenda katikati ya uwanja kumgusa Kaka wakati mechi inaendelea hapa Nsajigwa nikama anasema kuwa uyaone nilikuwa nikiona tu kwenye Luninga Majuu kumbe hata hapa kwetu inawezekana, kijana huyo aliluka kutoka jukwa la Orenge ambapo alikuwa amkekaa akiwa na rafiki yake mipango yote ya kutaka kuruka ilikuwa ikipangwa na watu wawili zamila yao ilikuwa nivijana wawili mmoja akamguse kaka na mwingine Robinho lakini kijana wa pili aliokopa kuruka kutoka juu akihofia kuvunjika lakini tayari alikuwa amesha vua viatu kama mwenzake.
Kaka haya mambo tumeyazoea kwani sisi tunajua tunapedwa na mashabiki , kaka akimkumbatia jamaa kwa ujasili wa kwenda kumlaki ili angalau asikie harufu yake ya kisoka aweze kumwambukiza na yeye.
1 comment:
Jamaa hata wamuazibu kashaweka historia kwa wajukuu zake!
Post a Comment