Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 11, 2010

MISS DAR INDIAN OCEAN ILIVYOFAANA KATIKA HOTL YA DOUBLE TREE DAR ES SALAAM.

Mshindi wa shindano la miss Dar Indian Ocean katikati Alice Lushiku akiwa na washindi wenzake (kulia) ni mshindi wa pili Iren Edson na mshindi wa tatu Edna Kwisala (kushoto)

Miss Dar Indian Ocean Alicea Lushiku akivishwa taji la umalkia wa kitongoji hicho.


Warembo waliofanikiwa kuingiamkatika nafasi ya Tano bora.


Washiriki wa shindano la Miss Dar Indian Ocean wakiwa katika pozi la picha kwa pamoja jana usiki katika Hotel ya Double Tree iliyopo Msasani karibu na Slip Way.

1 comment:

Anonymous said...

I would like to exchange links with your site www.pwaniraha.com
Is this possible?