Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 8, 2010

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA VITANDA NANE VYA AKINAMAMA WAJAWAZITO KWA AJIRI YA NKUJIFUNGULIA.

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania katikati Sabetha Mwambeja akimkabidhi kitanda cha kulajifungulia akina mama wajawazito Afisa Tawala wa mkoa wa Mbeya Beatha Swai (kushoto) huku Mkurugenzi wa Shirika la kutoa misaada kwa jamii nchini PIS Mary Mwanjelwa ambaye ndiye aliyeomba msaada huo akishuhudia tukio hilo.Jumla ya Vitanda 8 vyenye thamani ya shilingi Milioni 8.5 vimekabidhiwa kwa ajiri ya wilaya zote za Mkoa wa mbeya Wastani wa kila kitanda kimoja kinatumiwa na akinamama zaidi ya Ishirini kwa siku na kwa mwezi ni wastani wa akina mama 9,000. kwa mwaka ni wastani wa akinamama 72,000.hivyo upatikanaji wa vitanda hivyo utasaidia katika huduma ya akinamama wanaotarajia kujifungua.



Katibu tawala wa Mkoa wa Mbeya Beatha Swai akipokea moja ya msaada wa Vitanda Nane kutokam kwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim Bi Sebetha Mwambeja (katikati)
kulia ni Mkurugenzi wa PIS Tanzania Mary Mwanjelwa.

No comments: