Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni inayoileta timu ya taifa ya Brazil ya KENTARO GROUP Philippe Huber katikati akiwakabidhi wanafunzi wa shule ya msingi ya Ndugumbi Mpira wenye nembo ya United Ageainst Malaria ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha mapambano ya maambukizo ya Maleria hapa nchini, pia Kampuni hiyo imewalipia wanafunzi kumi wa shulehiyokwenda kushuhudia mpambano huo kati ya Brazil na Taifa stars utakaopigwasiku ya Jumatatu jioni.(kushoto) ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Leodger Tenga.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Ndugumbi ambao hawakupata bahati ya kushiriki katika sherehe ya kuabidhiwa mipira wakigombania dirishani ili waweze kuona kinachoendelea.
Viongozi wa Kampuni ya KENTARO GROUP kutoka kulia katika ya wnafunzi ni Mkurugenzi wa Afrika katika mapambano dhidi ya Malaria,Christina Barrinedu ,Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kentaro Group ambao ndio waliofanikisha kuileta timu ya Brazil hapa nchini kushoto ni Rais wa TFF Leodger Tenga
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Ndugumbi iliyopo Magomeni wakifurahia baadhi ya mipira waliyopewa na kampuni ya Kentaro
Rais wa TFF Leodger Tenga akitoa hamasa kwa wanafunzi wa shule ya msingi Ndugumbi.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Ndugumbi iliyopo Magomeni wakifurahia baadhi ya mipira waliyopewa na kampuni ya Kentaro
Rais wa TFF Leodger Tenga akitoa hamasa kwa wanafunzi wa shule ya msingi Ndugumbi.
No comments:
Post a Comment