Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 4, 2010

HONGERA KWA KUSHEREHEKEA HAPPY BITHDAY.

001. K eki kubwa ya aina yake ikiwa tayari kukatwa kuashiria kuzaliwa kwa Mkuu wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.

HAPPY BITHDAY OUR SISTER; Mwamvita Makamba akikata cake yake wakati alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akijiandaa kumlisha cake Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba wakati wa hafla fupi ya sherehe ya kuzaliwa(happy bithday) .

006. Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakijichana cake katika sherehe ya birthday ya mfanyakazi mwenzao Mwamvita Makamba.
Amaa,kumbe cake hii ni tamu hivi ngoja niifanyie kazi Mwamvita Makamba akiwa katika pozi la kula cake.








No comments: