Bwana harusi Yusuf Ambari akiwa na mkewe Fatma wakipiga picha ya pamoja na ndugu jamaa na marafiki.
Bibi Harusi Fatma akiwa na wifi yake Farida na kaka yake Hasso wakipiga picha ya pamoja.
Mama bibi harusi Bibi Sada Farrar akifurahia harusi ya binti yake.
Hassan akitafakari jinsi atakavyommiss dada yake baada ya kuolewa maana nasikia Fatuma ni hudari wa kupika biriani na huyu mshkaji haipiti wiki bila kula.
4 comments:
Wewe bro unayehuzunisha uskonde ndo hali, duh!!!
this is very private issue. dont you have any serious issues to post on your blog?
Seriuos kama nini vile, kama wewe hutaki nani kakwambia uje huku. In this world are all sort of materials to read; serious ones, stupid ones, vital ones, educative ones etc so what one does is to read the material you think you suits you the most.
russell westbrook shoes
vans shoes
nike air max
kd 11
kyrie 6
yeezy
stephen curry shoes
yeezy boost 350 v2
kyrie 5 shoes
jordan shoes
Post a Comment