Baadhi ya wanafunzi wa sekondari wa shule ya Ubungu, Jitegemee na Makongo wakiwa katika uchangiaji wa damu katika viwanja vya Biafra.
Mkazi wa Chanika Deo Mathayo akipima damu kwa ajili ya kuchangia wengine wenye shida ya damu.
Mtaalam wa kupima Damu salama Peter Chande akitoa damu kutoka kwa mwanfunzi wa shule ya sekondari ya Ubungo Hadija Mussa kwa hiari yake ikiwa ni sehemu ya kujitolea damu.
Wanafunzi wa sekondari wakiwa katika semina ya kuchangia damu kwa hiari yao katika tamasha lililofanyika katika viwanja vya Biafra ikiandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, mpango wa Taifa Damu salama kanda ya Mashariki.
Baadhi ya wataalam wakichunguza damu baada ya kupima.
No comments:
Post a Comment