Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 15, 2010

Wahariri Kupigwa Msasa Kuhusu Michezo.


Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) Sunday Kayuni, akitoa mada wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa Hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam .


Mwalimu wa viungo wa Chuo Kikuu cha Dares Salaam Sylvery Said Mziray "Super Coach", akitoa mada.


Wahariri wa Michezo wa vituo vya Televisheni Peter Shadrack wa Channel Ten (kushoto) John Lugendo na wa ITV (kulia) wakifuatilia mada kwa umakini.



Baadhi ya waandishi waandamizi wa Michezo wa Maghazeti ya Nipashe, Habarileo na Uhuru wakifuatilia semina hiyo.

No comments: