Wasanii wa kundi la Wakali Sinza Jasimine Dilips na mwalimu wake Lila wakionyesha umahili wa kutawala jukwa katika shindano la kumtafuma miss IFM lililofanyika katika bwalo la polisi oysterbay jana usiku.
Waziri Rajab (kidume) wakundi la Wakali Sinza akionyesha umahili wa kudansi muziki wa kisasa kwa mashabiki na wapenzi wa ulimbwende katika shindano la MISS IFM
Chid Benz na Chiku Ketto wakiimba kwa hisia kali katika shindano la miss Ifm jana katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Oysterbay
Wanafunzi wakipagawishwa na muziki waChid Benz katika shindano la Miss IFM.
Hakubali mtu wote tumetoa pesa lazima tunufaike wote siyo warembo tuhata sisi ni mashabiki waliohudhuria katika shindano la miss IFM wakisakata rumba katika ukumbi wa bwalo la PolisimOysterbay .
No comments:
Post a Comment