Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 15, 2010



Msanii wa kundi la THT Jamilah Hamisi akiwa katika pozi la tangazo la benki ya KCB baada ya kuzinduliwa kwa tawi jipya la Oysterbay lililopo katika jengo la HarambeePlaza,

Meneja mauzo wa benki ya KCB (sales Manager) Clara Sannda akiwa katika majukumu ya kusubilia wateja ilimaweze kuwauzia bidhaa yake na kuwaelekeza namna wateja wanavyoweza kujiunga na benki hiyo kwa kufungua akaunt mpya,ikiwemo account ya Amana ambayo haina liba .Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon akivinjali katika eneo la hotel ya Tanga ambapo kampuni hiyoilikwenda kutoa misaada katika Wilaya ya Mkinga shule ya Mtimbwani ambapo walikabidhi madarasa mawili yenye thamanimya shilingi Milioni 22.

kama kawa tunakamua mikoa yote Hapa ni eneo la Hoteli ya Tanga,jamaa akisherehekea kwa pozi la zamani la kupiga picha kwa kuengemea magari du sijui pozi hilo badolinasoko katika anga la picha,

No comments: