Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 17, 2010

VODACOM TANZANIA,KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI ZA PEPSI NA TBL KUPITIA KINYWAJI CHAKE CHA BIA YA KILIMANJARO WADHAMINI MBIO ZA DARCOMRADES

Mwandaaji wa mbio za Dar Comrades Half Marathon and SATZ Charities Funds Awards, Paddy Hoon ambaye ni Regent Tanzania LTD SATZ Commitee Member (kushoto)akiteta jambo na Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Nector Foya baada ya kumalizika kwa mkutano na wandishi wa habari uliohusu maandalizi ya mbio hizo zitakazofanyika mei 29 mwaka huu zikiwa zimedhaminiwa na Kampuni ya Vodacom, kampuni ya bia Tanzania TBL Kupitia kinywaji chake cha bia ya Kilimanjaro na Kampuni ya Vinywaji baridi vya Pepsi.

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector P.Foya wa pili kutoka (kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Dar Comrades Half Marathon 2010
zitakazofanyika mei 29 jijini Dar es Salaam,(kulia) Meneja mauzo wa Pepsi Rashid Chenja wa Tatu, Mwandaaji wa mbio hizo Paddy Hoon (kushoto) Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe.mbio hizo zitakuwa za kilomita 5,Kilomita 10 na Kilomita 21.
Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector P.Foya akifafanua jambo kwa wandishi wa habari hawapo pichani katika mkutano wa maandalizi ya mbio za Dar Comrades Half Marathon 2010 zitakazofanyika Mei 29 mwaka huu jijini Dar es Salaam, kwa ajiri ya kuchangisha fedha kwa ajiri ya watoto wenye matatizo,katika Rengent Tanzania LTD ,SATZ Commitee Member Paddy Hoon na Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe.
Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kushoto) na Mwandishi wa kituo cha Televisheni cha ITV Esther Sangai wakimsikiliza kwa makini Mwandaaji wa mbio za Dar Comrades Half Marathon 2010 Paddy Hoon hayupo pichani katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.


Baadhi ya wandishi wa habari wakiwajibika kazini
jijini Dar es Salaam.




No comments: