Jengo la madarasa mawili 2 ya Shule ya sekondari ya Mtimbwani yaliyojengwa na kampuni ya vodacom Tanzania kupitia kitengo chake cha Vodacom Foundation yakiwa katika muonekano baada ya kukabiziwa kwa shule ya sekondari ya Mtimbwani iliyopo katika Wilaya ya Mkinga, mkoa wa Tanga. Madarasa hayo yamegharimu kiasi cha shilingi Milioni 22.
Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akipata chai katika hoteli iliyopo katika kijiji cha Mtimbwani katika wilaya ya
Mkinga kabla ya kukabidhi Msaada wa Madarasa 2 kwa shule ya sekondari ya Mtimbwani yaliyojengwa na Vodacom Tanzania kupitia kitengo chake cha Vodacom Foundation yakiwa yamegharimu kiasi cha shilingi Milioni 22.hapo awali shule hiyo ilikuwa na madarasa Manne tu kutokana na kujengwa kwa madarasa hayo mawili kumeongezeka idadi na kufikia madarasa Sita.

Hapa ni utamu tu kwenda mbele hii ndio hoteli yetu hakuna kuchagua Y
essaya Mwakifulefule akijichana vilivyoo,

Mama mpishi wa mgahawa uliopo katika kijiji cha Mtimbwani akipika Chapati huku wateja wakiendelea kupata misosi,
Wakazi wa kijiji cha Mtimbwani katika Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga waliohudhuria katika hafla ya kukabidhiwa kwa madarasa 2 ya Shule ya Sekondari ya Mtimbwani yaliyojengwa na Vodacom Tanzania yakiwa na thamani ya shilingi Milioni 22. Wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa madarasa hayo.

No comments:
Post a Comment