Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya KCB nchini Tanzania wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa tawi la Oysterbay lililopo katika eneo la jengo la Harambee makautano ya barabara ya Ali Hassani Mwinya na KaundaDriven
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -Muungano Muhammed Seif Khatib akiteta jambao na Mwenyekiti wa benki ya KCB Tanzania Peter Muthok katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la oysterbay lililopo katika Jengo la Harambee makutano ya barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Kaunda Drive
Wafanyakazi wa benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja.
2 comments:
kaka, hongera..nakuona
si mchezo
Post a Comment