Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 15, 2010

Frola Martine alivyotawazwa kuwa miss IFM mwaka 2010

Mshindi wa shindano la Miss Mshindi wa shindano la Miss IFM Frola Martine akiwapungia mkoano mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Polisi oficers Mass oysterbay jijini Dar es Salaam, baada yakuwashinda walimbwende wenzake kumi na moja.

Miss IFM Frola Martine katika akiwa na zawadi yake ya Loptop aina ya Toshiba ambayo alizawadiwa kama mshindi wa kwanza ikiwa na thamani ya shilingi Milioni 1.6 baada ya kukabiziwa na mgeni rasmi Mheshimiwa Mbunge wa Afrika Mashariki Dkt.Didas Masamburi (kushoto) na kulia ni mkewake ambaye aliongozana naye katika shindano hilo Mbunge wa Viti maalumu mheshimiwa Janeth Massambuli.

Miss IFM Frola Martine katika akiwa na washindi wenzake JUdith Osima namba 2 na Esther Emmanuel (kulia ) mshindi wa tatu wakiwapungia mikono mashabiki baada ya kutangazwa washindi na kupewa zawadi zao.Washiriki wa shindano la miss IFM Chuo cha usimamizi wa Fedha , wakiwa katika picha ya pamoja katika vazi la ufukweni katika shindano lililofanyika ukumbi wa polisi oficers Mess Dar es Salaa.

Warembo ambao walishiriki katika shindano la miss Ifm wakijitambulisha jukwaani kwa kusakata muziki,








No comments: