Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 25, 2010

WADAU WA SOKA WANAPOKUTANA UWANJANI UHURU.

Meneja Uhusiano wa kampuni ya bia ya serengeti Tedy Mapunda (kushoto ) akijadili jambo na mtangazaji mahiri wa kituo cha Televisheni ya Star Tv Thom Chilala wakati waliopkutana katika mchezo wa Twiga stars na timu ya taifa ya Eritria.

Meneja Uhusiano wa kampuni ya Seregeti Tedy Mapunda (kushoto) akisalimiana na Lina Mhando ambaye ni kiongozi wa timu ya wanawake ya Twiga Stars wakati walipokutana katika uwanja wa Uhuru katika mpambano baina ya Twiga Stars na Eritria katika ni Thom Chilala mtangazaji wa Star TV.

No comments: