Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 25, 2010

.

Baadhi ya wageni waarikwa waliohudhuria katika kitchen Party ya Miss Kahenga Suleyman wakiwa katika mkao wa kula sherehe hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Russian Culture Dar es Salaam.

Miss Kahenga Suleyman akimlilia mama yake mdogo Rukia Mtingwa wakati alipokuwa akimuagakatika sherehe ya Kitchen Party iliyofanyika ukumbi wa Russian Culture Dar es Salaam.

Wageni waarikwa katika moja ya pozi.

Wakina dada hawa noa hawakuwa nyuma katika sherehe ya kumuaga mtoto wa mfanyakazi mwenzao Rukia Mtingwa ambaye ni Meneja matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania ,wakiwa na nyuso za furaha katika sherehe hiyo iliyofanyika Jumamosi Mei 22. 2010 katika ukumbi wa Russian Culture Dar es Salaam.
Miss Kahenga Suleyman katikati akiwa katika picha ya pamoja na mama zake wadogo wakiongozwa na Rukia Mtingwa wakwanza (kulia)
katika Bridal Shower ya kumwanga mtoto wao ilioyofanyika katika ukumbi wa Russian Culture Upanga jijini Dar es Salaam.

No comments: