Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 25, 2010

MWAMVITA MAKAMBA ALIVYOIKUMBUKA SHULE YAKE YA MSINGI YA MTANDA YA MKOANI LINDI.

Mmoja wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi ya Mtanda ya Lindi akimpeleka mwanafunzi wa zamani aliyesoma katika shule hiyo miaka ya 2003 Mwamvita Makamba ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania wakati alipokwenda kutembelea katika shule hiyo kujionea maandeleo ya shule hiyo aliyosama darasa la tatu kabala ya kuihama kipinda baba yake alipokuwa akifanya kazi katika Mkoa huo wa Lindi

Mwamvita Mkamba akionyeshwa ofisi ya mwalimu Mkuu na mtoto wa darasa la kwanza Amina wakati alipokwenda kutembelea katika shule hiyo ya Mtanda iliyopo Mkoa wa Lindi (kulia)
Afisa Mauzo wa Vodacom Mkoa wa Mtwara Erasto Chiwango.
Mwamvita Makamba akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika katika ofisi ya Mkuu wa shule Mtanda hivi karibuni akiwa katika ziara ya kutembelea shule aliyosoma miaka ya nyuma wakati baba yake Yusuph Makamba alipokuwa akifanya kazi katika mkoa huo wa Lindi.
Atendasi ya mahudhurio ikionyesha namba 15 ikiwa ni jina la Mwamvita Makamba katika orodaha ya wanfunzi wa darasa la Tatu enzi hizo.

Wadogo zangu mimi nilisoma hapa na sasa nina kazi nzuri kwa hiyo na ninyi jitahidini msome kwa bidii muwe kama mimi sawa ,ndiyoo dada yetu, Mwamvita Mamkamba akiwaasa wanafunzi wa darsa la pili katika shule ya Mtanda ya mkoa wa Lindi ,wasome kwa bidii wakati alipofanya ziara ya kutembelea shule hiyo ailiyosoma darasa la Tatu.