Mrembo Kahenga Suleyman akiwa katika pozi maridhawa ndani ya gari kabla ya kuingia ndani ya ukumbi wa Russian Culture uliopo Upanga Dar es Salaam, katika sherehe yake ya Kitchen Party.
Tabasamu lililojaa majonzi ya furaha. Kuhenga Suleyman (kulia) na mpambe wake wakiingia katika ukumbi wa Russian Culture kwa stairi ya kujifunika myamvuli ya mvua.
Hakuna lisilowezekana kwa Mwenyezi Mungu, Miss Kuhenga Suleyman akiwa na mpambe wake wakiwa katika pozi la picha katika sherehe ya Bridal Shower(kitcherpaty )iliyofanyika katika ukumbi wa Russian Culture Siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 Mei 2010 Upanga Dar es Salaam.
Wadogo zake na Miss Kahenga Suleyman wakicheza muziki wa kumkaribisha dada yake.
Wafanyakazi wenzake na Kahenga Suleyman wakimwonyesha sehemu ya zawadi walizomchangia ili akaanzia maisha yeye na mmewake.
No comments:
Post a Comment