Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 10, 2010

Vodacom Tanzania Kupitia Kitengo Cha Huduma Kwa Wateja Yatoa Msaada.


Hili ni jengo lililopo katika maeneo ya Victoria pembezoni mwa barabara ya Ali Hassani Mwinyi, jijini Dar es Salaam, ndipo ofisi za vodacom Tanzania Kitengo cha (Custom care) Huduma kwa Wateja zilipo.



Mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chamanzi Mbagala Dar es Salaam akiwaelekeza wafanyakazi wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Vodacom. Mifugo ya nguruwe wakati walipotembelea banda ambalo lilifadhiliwa na Vodacom Tanzania.



Mfanya kazi wa Vodacom Tanzania Huduma kwa Wateja Geofrey Wilfred( kushoto) akimkabidhi msaada wa ndoo ya mafuta ya kula mwenyekiti wa kituo cha Yatima Group Trust Fund Winfrida Rubaza( kulia ) katika ni baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho chenye watoto 158.



Wafasnyakazi wa Vodacom Tanzania wa kitengo cha Huduma kwa wateja wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaolelewa katika kituo cha YATIMA GROUP TRUST FUND CHA MBAGALA CHAMANZI,wakati walipokwenda kutembelea katika ktuo hicho kujione ikiwa nisehemu ya kupeleka misaada mbalimbali kwa ajiri ya watoto vodacom ndiye mlezi wa kituo hicho.


Waztoto wakituo cha Yatima Trust Fund wakiangalia kwa tabasamu zawadi zilizopelekwa na wafanyakazi wa Vodacom Kitengo cha Huduma kwa wateja.

No comments: