Pamoja na kuwepo kwa foleni kubwa katika eneo la kituo cha Mbagara Rangi Tatu askari wa usalama barabarani wameshindwa kabisa kuongoza magari eneo hilo na badala yake wamekuwa wakijikita zaidi kukagua magari ya wauza mikaa. Pichani ni askari wa usalama barabarani wakiongea bila wasiwasi huku msongamano wa magari ukiwa mkubwa.
No comments:
Post a Comment