Wachezaji wa timu ya wanawake Twiga Stars wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi ya timu ya taifa ya Eritria .
Mshabuliaji wa timu ya Twiga stars akifunga goli la pili katika goli la Eritria.
Mshambuliaji mhatali wa timu ya Twiga Stars Fatuma Bushiri akimtoka mchezaji wa Eritria katika mchezo uliopigwa jumapili katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Warembo wanaoshiriki katika kinyanganyilo cha kumtafuta miss Dar Inter College 2010, wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake Twiga stars , baada ya kumalizika kwa mechi yao na Eritria Twiga Stars iliibuka mshindi kwa bao 8-1 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Warembo hao walikwenda kuongeza hamasa kwa timu hiyo kwa kuishangilia kwa nguvu zaidi.

1 comment:
lebron shoes
goyard
air max
kyrie 6 shoes
nike kd 11
jordan 11
calvin klein underwear
kyrie 5 spongebob
yeezys
lebron 15
Post a Comment