Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kulia) akimkabizi Aishwarya Naira wa Traince Asyla Attornys chatities (kushoto)hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1.8 baada ya mbuzi wao kuibuka mshindi katika mashindano ya kukimbiza mbuzi zilizofanyika oysterbay jana wa pilikutoka kulia ni Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom anayefuatia ni Ofisa Uthamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
May 23, 2010
SHindano la Mbuzi lafaana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment