Miss Mkuranga Rahma Said akipozi katika picha baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa ParaPanda uliopo katika Wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Ofisa Udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya vodacom Tanzania. Ibrahim Kaude akimpongeza Miss Mkuranga Rahma Said baada ya kushinda shindo hilo liliwashirikisha warembo tisa.
Waimbaji wa kundi la Dar Modern Taarab wakiimba katika shindano la kumtafuta mrimbwende wa miss Mkuranga katika shindano lililofanyika katika ukumbim wa Parapanda Wilaya ya Mkuranga.
May 23, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment