Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 4, 2010

Mwimbaji wa Wimbo ya Nipigie Mpenzi Alivyofunika,


Msanii wa muziki wa kisasa bongo Flavor Ali Ramadhani AT akiimba nyimbo yake ya Nipigie Mpenzi aliyoshirikiana naye na Stara Thomas, katika onyesho la Fainali za Kiduku zilizoandaliwa na Manywele Entertainment chini ya Mkurugenzi wake Maimatha, katika ukumbi wa Traveltine Magomeni jijini Dar es Salaam. Kushoto wakiowa katika picha ya pamoja na mwanamuziki nguli wa dansi hapa nchini ambaye watu wengi wamamfahamu kwa jina la mwalimu wa walimu aka Banza Stone lakini jina lake halisi ni Ramadhani Masanja. 




Ali Ramadhani picha ya chini akiimba na mwimbaji wa bendi ya muziki wa taarab ya Jahazi Fatma Ally msanii huyo AT anategeme kuzindua albam 




yake ya nipigia mpenzi ikiwa na nyimbo kumi na nne. Baadhi ya nyimba amewashirikisha wakali kutoka Kenya akiwamo msanii Nameless na Ngoni Tribe wa Uganda . Inapendeza kuona jinsi wasanii wa Tanzania wanavyoshirikia na wenzao kutoka nchi jirani ili kutoa mziki unaoburushisha zaidi.








No comments: