Hilini eneo la Mlimani City ambapo ambapo kesho ndio kutakuwa na mkutano wa Dunia wa kiuchumi kuhusu bara la Afrika,World Economic Forum of Africa -WEF.
Kuanzia kesho hadi ijumaa, ili kuhakikisha wageni wanapita sehemu nzuri, tayari barabara ya Sam Nujoma kuanzia Mwenge hadi Ubungu imepandwa Miti ya minazi mikubwa yenye takribani miaka 10 hivi na kila mti unasadikika umegharimu kiasi cha shilingi 700,000 (nb: hizi ni fununu tu).
No comments:
Post a Comment