Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 4, 2010

Jahazi Modern Taarab Bado Wapo Juu.





Mbunge wa Kinondoni Idd Azani akisakata kiduku na washindi wa shindano hilo kundi la Visqua ambao walijishindia kiasi cha dola 250 kutoka kwa mwanadaaji Manywele Entertainment chini ya Mkurugenzi wake Maimatha.





Mmooja ya wachezaji jinsi alivyokuwa amepandwa na mzuka huku watu wakimshangilia kwa shwangwe na nderemo. Vazi lake kama mnavyoona pia lilikuwa balaa.








Kushoto ni mwandaaji wa shindano hilo akitafuna vidole kwa kuwashanga vijana wake walivyofanya kweli katika shindano hilo, wa pili yake ni Malkia wa Jahazi morden Taarab Leila Rashid. 







Jinsi gani mchezo huo wa kiduku unavyowadhalilisha wavulana kwa kuvaa au kuiga kuvaa nguo za wasichana. Pichani ni kikundi cha Stavanga ambacho wengi wa mashabiki walidhani wangekuwa washindi wa shindano hilo. 





No comments: