Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 17, 2010

The Kili Awards.


Mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta Haldi Chokoraa akiwa na tuzo Music awards baada ya bendi yake kushinda tuzo ya wimbo bora kwa bendi za dansi.



Waimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta Msafiri Diofu ,Lwiza Mbutu na Dogo Rama wakiwa na tuzo za Kili Music Awards ya Albam Bora ya Mwana Dar es Salaam,Wimbo Bora ya MwanaDar es Salaam.


Wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipokuwa wakitumbuiza katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.


Aliyekuwa Mnenguaji wa bendi ya TOT Nasibu Selemani akiwajibika katika steji kwa kunengua huku akiwa juu ya baiskeli.

No comments: