Pamoja na kuwa serikali imekuwa aikitumia nguvu nyingi za kuwaondoa wanaojihusisha na biashara ya ombaomba bado imekuwa ngumu kuondoka sasa hivi omba omba wamebuni mbinu ya kulea watoto katika barabara za katikati ya jiji na kujipatia kipato pichani mtoto akiwa amepitiwa na usingizi eneo la barabara ya Garden huku dada yake akiwa na mtoto mwingine, Nchi ya jirani ya Uganda hivi majuzi walianzisha msako wa nguvu na kuweza kuwarudisha makwao wanaojidhughulisha na biashara hiyo katika jiji la Kampala iweje hapa bongo watu wamekuwa wakigeuza mradi kwa Mgambo ambapo wanawakamata na kuwaachia kwa kupewa kitu kidogo .
May 17, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment