Hapa ndio unapojua kuwa hakuna kazi ndogo Mtaalamu wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiwa haamini kilichotokea kwenye komputa yake baada ya mafairi yake kupotea.
Mambo yanavyo kwenda ovyo katika kazi huwachanganya watu. Mtaalamu wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiwa na uchungu baada ya komputa kufutika.
Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon (aliyesimama) na Mwamy Mlangwa Relation Coordinator wakiwa smati kazini kwao.
No comments:
Post a Comment