Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Said Mwema na Mwakilishi Mkazi wa KOICA ya Korea Holywater Sung Soo wakikabidhiana hati za mikataba ya uboreshaji wa jishi la Polisi ambapo jeshi la polisi Tanzania litapata mafunzo mbalimbali ikiwemo ya Teknohama, mkataba huo ulisainiwa katika ofisi za jeshi la polisi zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Said Mwema na mwakilishi Mkazi wa KOICA Holywater SUNG Soo wakionyesha nyaraka baada ya kutiliana mkataba kwa ajiri ya mafunzo mbalimbali ya kiwemo ya Teknohama.
IGP Said Mwema (kulia) akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na kutiliana mkataba wa kuboresha jeshi la Polisi nchini na nchi ya Korea kupitia KOICA (katika) Mwakilishi Mkazi wa KOICA Holywater Sung SOO (Kushoto) sektari wa ubalozi wa Korea nchini Joe Young.

No comments:
Post a Comment