Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 11, 2010

Mradi wa Champion Wazindua Kampeni wa Kutumia Vyombo Vya Habari.


Champion ni mradi wa miaka mitano kuhamasisha majadala wa kitaifa kuhusu majukumu ya na nafasi ya wanaume na kuongeza usawa wa kijinsia ili kupunguza uwezerkano wa wanaume , wanawake na watoto kuambukizana Virusi vya Ukimwi na matatizo mengine ya afya ya uzazi, hayo yalisemwa na Dr,Veronimo Mlawa ambaye ni Afisa Mradi wa championi pichani (kushoto) akiongea na wandishi wa habari katika semina ya uzinduzi wa mradi huo wa champion uliofanyika katika Hoteli ya Court Yard Dar es Salaam ,kulia ni Meneja Uhusiano Lidsay Hughes.



Mmoja wa wandishi wa habari waliohudhulia katika uzinduzi huo John Bukuku aka Full shangwe blogspot.com akiuliza swali .



Maafisa mawasiliano wa Champion Eliya Chiwango ,Hajra Makongoro na Abigail Ambweni wakisikiliza kwa makini wakati semina ikiendelea.



Wasanii wa THT Elias Barnabas na Linah Sanga wakitumbuiza kabla ya kuanza semina ya wandishi wa habari wa vyombo mbalimbali katika ukumbi wa Hotel ya Court Yard Dar es salaam.



Baadhi ya wafanyakazi wa Champion Tanzania iliyopo chini ya Shirika la EngenderHeath kwa kushirikiana na Shirika la Academy For Education Devolopment kwa ufadhiri wa Watu wa Marekani wakifuatilia uzinduzi huo.

No comments: