Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

May 11, 2010

Mambo ya Vodacom.


Meneja mawasiano wa Vodacom Tanzania Necta Foya, akitoa maelekezo kwa mpiga picha Albart Jackson alipotembelea katika ofisi za Vodacom Foundation zilizopo ghorofa ya 14 katika jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.

.

Meneja Mawasiliano wa Kampuyni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania Necta Foya akiwasiliana na wateja ofisini kwake.


Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akidunda muzigo ofisini kwake ghorofa ya 14 katika jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.



Picha mbili tofauti zikimuonyesha Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon akiwa ofisini kwake akiwa tayari kulitumiakia taifa letu kwa kusukuma guruduma lisonge mbele hapo ni sehemu tu ya baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Foundation ambao wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha jamii ya watanzania inanufaika na matunda ya Vodacom, ikiwemo kutoa huduma mbalimbali za kijamii kama vile kujenga majengo ya shule za sekondari na shele za msingia hapa nchini, kutoa misaada ya Computer kwa shule za sekondari takribani mikoa yote ya Tanzania, kujenga zahanati ,na vitu vingine vingi ambavyo wananchi wengewamenufaika navyo hadi hivi sasa ,bila kusahau watu wa soka Vodacom Tanzania wamekuwa wakidhamini Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

No comments: