Askali wa usalama barabarani akiwa amepanda ndani ya gari la mafuta akiongea mazungumzo mazuri yakiutuuzima na dereva wa lori hilo. Mazungumzo hayo mazuri yalipo malizika alishuka kwenye gari na kuendelea kujenga Taifa. Mazungumzo hayo hakiendelea kulikuwa na msongamano wa magari mkubwa katika makutano ya barabara ya Mandela na Kilwa.
May 10, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Rushwa rushwa rushwa jamani bongo tuwacheni hii.
The blacker the berry the sweeter the juice, sasa hii ni gari ya mafuta mwanangu haiwezi kupita hivi hivi.
mimi naona hakuna ushaidi wa rushwa hapa nadhani amemkama tu hakuna jengine.
Post a Comment