Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 23, 2010

Soko la Temeke Stereo.

Mandhari ya soko la Temeke jinsi linavyoonekana kwa juu.

A young man trying to make ends meet, kijana huyu akibeba gunia lililosomeshwa na jengine pekeyake. Yani bongo huya hakuna viwango vya kueleweka gunia la kawaida huonekana kana kwamba halitoshi basi huongezewa ili libebe mali nyingi.

Haya ndio wazee wa kazi hapo sokoni.

'Hero' akipita sokoni huku akiuza ile dawa ya kurefusha maneno flani hapa mbele ili ukamfurahishe shemegi. Siku hizi 'mahero' wameacha kazi za kulinda na kuingilia kazi za "ufamasia" (mobile pharmacist).