Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 23, 2010

Mambo ya Travelltine; Magomeni.

Maimatha akitangaza katika shindano lake la mkali wa Kiduku 2010 ambalo llilifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Traveltine Magomeni.

Mzee Yusufu akitumbuiza mashabiki wake.

Mwimbaji huyu naona anatuzwa dolari kama sikosei maana ile noti kama vile rangi zake hazifanani na wekundu wa msimbazi, au labda ni buku tano.

Inaonekana hawa ni wafuasi wazuri wa Masanja wa "Ze Orijino Komedy" kwa jinsi walivyojipaka mapoda.

Mmoja ya wanaowania ushindi katika shindano la mkali wa Kiduku 2010.

No comments: