Msichana mwenye umri wa miaka 19 aliyejulikana kwa jina la Angela Joseph pichani akiwa na watoto wake mapacha Francis John na Frank John. Dada huyu mkazi wa Msasani amekuwa katika wakati wa furaha siku zote kwa kusema hii ndiyo bahati nzuri kuliko kitu chochote kwa Mwenyezi Mungu kumpatia watoto mapacha katika umri alionao. Leo hii amewabatiza katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam.
April 5, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment