Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

March 6, 2010

Simba yailalua 3 -1 tmu ya JKT Ruvu,

Kocha mkuu wa Simba Phiri akipongezwa na mashabiki wa timu ya Simba baada ya timu hiyo kiitandika mabao 3-1 timu ya Jkt Ruvu, mpaka sasa simba imebakiza pointi 2 tu kutangaza mabingwa. Tangu kuanza kwa ligi, Simba haijawahi kupoteza mchezo wowote ila imeweza kudroo michezo miwili mmoja kati ya timu ya Kagera Suger ya na Africalyon .

Mashabiki akishangilia kuingia bao la tatu.

Kipa wa Jkt Juma Dihile akiwa amebebwa kwenye machela baaada ya kuzimia kutokana na kugongana na mshambukiaji hatari wa Simba Mussa Mgosi.

Kiungo mshambukuaji Banka akijalibu kumtoka beki wa JKT.