Mkurugenzi mtendaji mkuu wa kampuni ya Dinaflowers iliyopo Namanga jijini Dar es Salaam, Dina Bina akitoa mafundisho ya ujasiliamali kwa wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania katika Hoteli ya Holiday Inn ikiwa ni sehemu moja wapo ya sherehe za wanawake duniani zinazotarajiwa kufanyika duniani kote mnano Jumatatu.
Baadhi ya washiriki wa semina ya ujasiliamali wakimsikiliza kwa makini mtoa mada hayupo pichani Mkurugenzi Mkuu mtendaji wa Dinaflowers Dina Bina wakati wa semina wakwanza kulia ni Maria Adhia mama mzazi wa miss Tanzania 2007 aliyeketi katikati na kushoti ni Regina Mageni.
Kutoka kulia ni Chriss Karunde, Elizabeth Mfinanga na Baraka Bitebu wakiwa katika semina ya mafunzo hayo.
Wanasemina wakiwa makini mkusikiliza mtoa mada.
No comments:
Post a Comment