Waziri wa Wizara ya maji na umwagiliaji Profesa David Mwandyosa kulia akiongozana na Katibu Mkuu Eng Christopha Swai wakiingia ukumbini wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya na kuwaaaga waliostafu.
Baadhi ya wafanyakazi wa wizira ya maji na umwagiliaji wakicheza mduara katika sherehe hizo.
Waziri wa Maji na umwagiliaji Profesa David Mwadyosa wa pili kutoka kulia, katibu mkuu wa Wizara hiyo Eng Christopha Sai wa tatu, wa kwanza kulia katibu mkuu mstaafu Wilsoni Mkama wakiwa wameshikilia class tayari kwa kugongeana cheers.
kitambaa mkononi wafanyakazi wakiserebuka muziki.
Ngwasuma inaponogo ubosi unauweka pembeni ikiwemo hata msosi, bosi huyu alikuwa mezani akipata mlo mara ngwasuma likapigwa akaamua kuachana na msosi ilikuwa katika sherehe za kuukaribisha mwaka mpya na kuwaaga waliostafu kwa wafanyakazi wa wizara maji na umwagiliaji sherehe hiyo ilifanyika katika ukumbi wa wizara hiyo iliyopo ubungo Dar es Salaaam.
No comments:
Post a Comment