Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

March 4, 2010

Msanii bi kidude miaka 113 ya sanaa ya muziki.

M Mkuu wa Mahusiano wa vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa na chandarua alichozawadiwa wakati wa kampeni ya uzinduzi wa maleria haikubariki zinduka kshoto ,kwake ni mmoja wa marafiki zake .

Wachezaji wa timu ya soccer academy inayokuza vipaji vya vijana wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Karume wa kwanza kulia ni kocha wao Kaijage.

Bi, Kidude akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe baada ya kukutana katika maeneo ya ofisi za habari Maelezo,mtaa wa Samora.katika ni mjukuu wa bi kidude.


Bi Kidude mwenye miaka 113 akisindikizwa na ndugu zake baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa kampeni ya maleria katika viwanja vya Leaders Club .








No comments: