Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa benki ya CBA Tanzania Nehemiah Kyando (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa benki hiyo Peter Kiumo wakati wa sherehe hiyo iliyounganishwa na ugawaji wa zawadi kwa wafanyakazi bora waliitumikia vizuri benki hiyo.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji (CEO) wa benki ya CBA Nehemiah Kyando akifafanua jambao kwa wandishi wa habari kuhuiana na hughuli za benki hiyo baada ya kumalizika kwa sherehe za kutimiza miaka minne tangu kuanzishwa kwa benki hiyo weekendi iliyopita.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakichana makuku kwenda mbele katika sherehe za ktimiza miaka minne ya utoaji huduma benki ya CBA .
No comments:
Post a Comment