
Familia bora ni baba, mama na watoto pichani ni familia ya Mapunda, akiwa na mke wake amabya ni Teddy Mapunda wakiwa na watoto wao kutoka (kushoto) ni mtoto mwenye umri wa miaka 4 Migel Mapunda (kulia) Altevin Mapunda wakiwa katika pozi ya pamoja, Hawa inaonekana wanaendana na rais wa Marekani Barack Obama ambaye naye pia ana watoto wawili tu lakini wa kwake ni wa kike. Huu ndio uzazi wa mpango.

Hongera mama na wengine basi wajifunze kujenga familia iliyo imara kama yako .

Meneja Uhusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Tanzania Ltd Teddy Mapunda akichapa kazi ofisini kwake Chang'ombe jijini Dar es Salaaam, huku pembeni kukiwa na picha ya Familia yake.
4 comments:
Hahahaha unaijuwa familia bora mwandishi wa habari hii? Hiyo utaiitaje familia bora, wakati huyo mama watoto yupo kwenye "danger zone"...over weight, obessity, kwa madonge ya kuzuia mimba (majira), huyo ni full BP aka presha, sukari haiko mbali, ukimgusa anatumbuka, any time mzinga unapasuka huko...bomu hiloooo! We mtie moyo tu anafamilia bora!
Duniani hakukosi watu kama nyinyi, unajua maana obessity nini wewe zanzibar hapo? She is an .icon in TZ
too much promo!
kumbe kaolewa mimi nilijaribu nikatolewa nje basi ndoo maana nishaelewa ahsante kwa msimamo wako.
Post a Comment