Hatari tupu barabarani, baadhi ya wasamrlia wema wakijaribu kulinasua gari lenye namba za Usajili T735 BBA lililotumbukia kwenye Mtaro katika eneo la TX Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa benki Barclays wakifanya usafi katika kituo cha kulelea watoto Yatima na wazee wasiojiweza cha Mburahati cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu moja wapo ya utoaji wa huduma katika jamii.
1 comment:
RASHID true corners niyakweli kbisa your words, for your age when others have already contradicted do not want to hear something like that god akubarii be strong and beautiful voice soft.
Post a Comment